lirik lagu hapendi – rusty
intro
squad safi
soundland records
aaaaah…aaaaah!
chorus
hapendi kunicheki mi nikilialia
hapendi kunicheki mi nikiumiaumia
hapendi kunicheki mi nikiyajutia
aaaaah…nikiyajutia
niki nikiyajutia x2
verse 1
life, ikienda enda astray
hapendi kunicheki cheki niki suffer pain
nikiwa broke huwa ye ana make it rain
sipati zero kwake always, nina gain
sifanyi secular coz now am born again
juu yetu msalabani christ ali suffer pain
tupate kuepuka mitego za shetani
tupate ku sevika kutoka kwa madhambi
verse 2
saa zingine, vitu zenye si hufanya
huwa zinakasirisha mungu tena sana
kutenda dhambi, pia hata na kuhanya
zote hizo, mimi nasema hapana
kutia chumvi, pia na kutukanana
hata kutenda maovu yasiyo na maana
ulevi mwingi, wamama kusengenyana
zote nasema hapana zote nasema hapana
verse 3
sasa natangaza, captives all free
in the name of jesus, the blind now fi see
miaka mingi shetani nakupa bye bye
kwaheri ya kuonana vako zako ni za lie (lie)
we ni liar, we ni ibilisi mkubwa
kuwafanya wanadamu kuwa kama wafungwa
leo natangaza haya yote hadharani
leo natangaza vita dhidi ya shetani
verse 4
hapendi kuniona mi nikilialia
tangu kitambo kwa dhambi niliingilia
lakini bado, mola umenishikilia
ndio maana, kwako nimekimbilia
nimeokoka, kwa dhambi mimi sitalia
unani protect, yaani waniangalia
neno lako, forever nitashikilia
shetani hanioni kwako nimekwamilia
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu jordi webber › lirik lagu fine wine – jordi webber
- kumpulan lirik lagu timothy bloom › lirik lagu this may be (live) – timothy bloom
- kumpulan lirik lagu the tea party › lirik lagu dreams of reason – the tea party
- kumpulan lirik lagu martti vainaa sallitut aineet › lirik lagu tänne näin – martti vainaa & sallitut aineet
- kumpulan lirik lagu aanthems › lirik lagu pure fire – aanthems
- kumpulan lirik lagu brenn hill › lirik lagu caffeine – brenn hill
- kumpulan lirik lagu white silas › lirik lagu crosscuntry (sacrilege demo / bonus track) – white silas
- kumpulan lirik lagu fernando delgadillo › lirik lagu eva en las frutas – fernando delgadillo
- kumpulan lirik lagu insania › lirik lagu gift of life – insania
- kumpulan lirik lagu ocala › lirik lagu invierno – ocala