lirik lagu kama zamani – malika
wangu muibaka, sikuezi sikuoni
tangu kuondoka, moyo umo msibani
sijui hakika ilokuudhi ni nini
naombathe mkaa unijaze kwa makini
chorus:
mimi nakutaka mimi nakutaka
mimi nakutaka, sijui wewe unani?
wewe unani? wewe unani?
nakutaka (wewe) nakupenda (wewe)
nakutaka (wewe) nakupenda (wewe)
sijashiba na bado nakuthamani
laniadhibu pendo lako fulani
fanya kulahali, fanya kulahali
fanya kulahali, urudi kama zamani
kama zamani, kama zamani,
nyonda fanya hima, usichelewe haraka
ingiwa huruma, juwa mimi nakutaka
usiniweke nyuma, kwa mapenzi nateseka
tuishi daima, kwa kusema na kutheka
(chorus)
naona udhiya, wewe kuwa nami mbali
yangu mazoeya, kabisa kutoa ya ajali
hebu fikiria moyo ni zidi thakili
bwana niridhiya, nitunze yangu akili
(chorus)
sitotia toba, kukuatha duniani
bado sijashiba, nakuaza muhisani
nazitaka hoba, mwenziyo nimaraghini
nipe zako tiba, utunze kwa makini
(chorus)
makosa nirudi, ikiwa ni makosani
siwe mkaidi, kweli yako ubaini
ziweke baidhi, maudhi futa moyoni
na kw-ngu urudi, kama hali ya zamani
(chorus)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu humlan djojj › lirik lagu hör ni vem som kommer – humlan djojj
- kumpulan lirik lagu sza › lirik lagu i hate you – sza
- kumpulan lirik lagu alvie upnext › lirik lagu buffy! (remix) [transcribed in english] – alvie upnext
- kumpulan lirik lagu the wolfe brothers › lirik lagu soundtrack to an endless summer – the wolfe brothers
- kumpulan lirik lagu mariarti › lirik lagu mysterious cold – mariarti
- kumpulan lirik lagu dj tay b › lirik lagu put it down – dj tay b.
- kumpulan lirik lagu yesyes › lirik lagu i let you run away (walston remix) – yesyes
- kumpulan lirik lagu dirty nice › lirik lagu get in your head (malkovich ya) – dirty nice
- kumpulan lirik lagu wolfdezziigna › lirik lagu tonight – wolfdezziigna
- kumpulan lirik lagu yasmin asistido › lirik lagu ecq na naman – yasmin asistido