lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu salima – linex feat. diamond

Loading...

je jey ahh
the v.o.a
tuddy toma
waasafi
eeh

salima, salima ooh najua maisha yako yaliyumba pale ulipo wapoteza wazazi
wako
yule salima wa jana sio salima wa leo amekua wa kujinania na kujikata
tamaa
iko wapi furaha yake aliyo kuwa nayo mwanzo iko wapi furaha yake aliyo
kuwa nayo mwanzo

salima nakusanze kasuru kagonga wekuye tenga tinyanya

salima chenisange nguya yene nasoma nawe mwengee

salima mi ni sange yule yule nilie soma nawe mwenge zimeyayuka ndoto zako

ulizo kuwa nazo salima

(ooh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako
(ooh salima) tuwe na wana tuje penda (ooh salima) niwe baba wa watoto

wako
(ooh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako

(ooh salima) tuwe na wana tuje penda (ooh salima) niwe baba wa watoto
wako

naomba hiyo bahati ya kuishi nawe idondokee kw-ngu isiende kwa mwingine
yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe yasije kuwa kama yale ya
mla nawe hafi nawe

usijikatie tamaa kuna wengi wana shida kuliko zako salima
wanaamini kupitia yule msemo wa ridhiki hapo mbinguni kwake
wanaamini kupitia ule msemo wa ridhiki mafungu saba salima ooh

(oh salima)mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako
(ooh salima) tuwe na wana tujependa(ooh salima) niwe baba wa watoto
wako

(ooh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako
(ooh salima) tuwe na wana tuje penda (ooh salima) niwe baba wa watoto
wako

moyo unatamani yani kuwa kitambo ufungue (ufungue)
usione jinsi gani unavyonifanya niugue eeh
zenda huri nana uwawish uwawi nashisee
pamoja kuherera baba utungamizi j-po niulimishe
utamu, utamu wa moyo w-ngu mi kupendwa nawe
utamu salima tatizo mami basi sema nielewe
ah salima ooh (oh ayee) salima eeh (oh ayee) salima ooh (oh aee) salima
eeh (oooh)
(oh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako
(ooh salima) tuwe na wana tujependa ooh salima niwe baba wa watoto
wako
(ooh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima)mie nataka niwe wako
(ooh salima) tuwe na wana tuje penda (ooh salima)niwe baba wa watoto
wako
i feel that i’m in love with you, i feel that my life is you i feel that you’re
the only one i need, i’m gonna trust
baby i’m not perfect but i’m going my all the way and i just want to be
with you
me and you forever and ever
(oh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako
(ooh salima)tuwe na wana tuje penda (ooh salima) niwe baba wa watoto
wako
(ooh salima) mie mwenzako nakupenda (ooh salima) mie nataka niwe wako
(ooh salima) tuwe na wana tuje penda (ooh salima) niwe baba wa watoto
wako
watoto kedekede, na watoto kedekede shemeji mchange wandese tanisaidia
salima, salima, salima

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...