lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu schleiermacher — feeling as the basis of religion – phillip cary

Loading...

aaaaahaaa aaaahaaa uuuuuh nanananinana nana nanaaaa
ali k
mwana fa
marco chali chali
m j records
nana ninana naana nanaaaa
alikiba
sifa moja umenikamata (nakupa)
we peke yako ndio umeniweza
nilikopita nimeteleza
lakini kwako, we ndio kiboko yangu
mwana fa
kila shetani ana mbuyu wake
wewe ni mibuyu mitatu
ukiamua unitumikishe mwenzio nitalala na viatu
najionea maajabu, najionea mapya mama angu
hakuna mapenzi ya hivi popote kwenye ulimwengu
siwezi elezea jinsi nnavyokuzimia
nikicheza na moyo wako nacheza na w-ngu piaaa
nafsi yangu ishapotea, siwezi hata kujitetea
kama ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea
piga la kushoto nitageuza na la kulia
wengine hawanijaribu wanajua kitachotokea
sitaki mambo yaende kombo na yakienda yawahi kurudi
hatuendi nayo, hatuwezi shindwa, yaje na pambio yakibidi
tunabishana hatugombani then we back here
hatuendi juu, hatuendi chini love we right here (oooooohhh)
hata mapenzi yakifa boo si tubaki sawa tuu
si ni watu wazima halafu hatuwezi kuishi kama underground
ujue una nusu ya moyo w-ngu na nusu iliyobaki kw-ngu, yote inakupenda wewe
unajua langu la mwenzi w-ngu unatembea na roho yangu, sio tena mtu wa mademu, we ndio mich-lle obama w-ngu
alikiba
sifa moja umenikamata (nakupa)
we peke yako ndio umeniweza
nilikopita nimeteleza
lakini kwako, we ndio kiboko yangu
sipagawi hawajui kwanza
we ndio namba moja unawakimbiza
unatembea na roho yangu
nataka ujue we ndio kiboko yangu

mwana fa
wakikuita vikao vya hila, waambie uko busy na bwana
na ubusy hauwezi kuisha cz una mengi ya kufanya
hatuwezi kosa usingizi sababu watu wanasema
wanamidomo waifanyie nin?
waache wakichoka wataizima
uko mikono salama cz nnakuzimia sana
kama mboni yangu ya jicho jinsi nnavyokutazama
mahaba to the moon and back
come keep it real kwa ufupi mambo ya kihuni sitaki
nataka tuzeeke pamoja
mpaka vikongwe me na we bega kwa bega
chochote unachotaka mepanga kukupa kweli
kama sina nitatafuta na ninaamini utasubiri
huwezi omba ndege unaakili, huwezi omba meli
we ndio mtunza ela zangu, utaomba ninachoweza himilia
kaptain wa kisomali we ndio captain love
we ndio superman, we ndio pilot love
ujue una nusu ya moyo w-ngu
na nusu iliyobaki kw-ngu yote inakupenda wewe
unajua langu la mwezi w-ngu unatbea na roho yangu
mi sio tena mtu wa mademu we ndio mich-lle obama w-ngu(you are the one and only)
alikiba
sifa moja umenikamata (umenikamata)
we peke yako ndio umeniweza
nilikopita nimeteleza
lakini kwako, we ndio kiboko yangu
sipagawi hawajui kwanza
we ndio namba moja unawakimbiizaa
unatembea na roho yangu
nataka ujue we ndio kiboko yangu
ali k
mwana f a
marco chali
m j records
pop it in

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...