lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ibaki story – rich mavoko

Loading...

wasafi
matapishi n kinyaa, huwezi rudisha tena kwenye kinywa,
j-po mengi ulisema kama nuru ghafla ukazima.
ikawa ngumu kukusau nikasema moyo ukomee, kwa kali sulu na madharau penzi ulivunja na ngome
na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi, we ndio ulifanya macho yangu, yaone wengi waongo na ukaudhulumu moyo w-ngu uliuza penzi kwa magendo
leo unatamani ww kurudi ya zaman ni ndotoooooo
wewe ulinirubuni kwa penzi la kidali kama mtotoooo
mi na wewe acha ibaki story mm na wewe mapenzi mm na wee acha ibaki story mi na wewe x 2
kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia, mapenzi yana siri kubwa usimshangae mtu akilia.
nmekubali mboni zangu zimtazame mwingine, maridhia ya moyo w-ngu huenda c fungu pengine
cha kushangaza hadharani ya kuficha unaweka wazi, nikahisi sijui mapenzi labda kwako sinogi n-z-,
na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi, we ndio ulifanya macho yangu, yaone wengi waongo na ukaudhulumu moyo w-ngu uliuza penzi kwa magendo
leo unatamani ww kurudi ya zaman ni ndotoooooo
wewe ulinirubuni kwa penzi la kidali kama mtotoooo
mi na wewe acha ibaki story mm na wewe mapenzi mm na wee acha ibaki story mi na wewe x 2

tudi thomasi

yalinitesa mazoea hayaaaaaaa
lakin mm nishazoea mwayaaaaaaa
ila tambua mapenzi mabayaaaa
kidonda chake hakinaga dawaaa
eeeehhh
mazoea hayaaaaaaa
lakin mm nishazoea mwayaaaaaaa
ila tambua mapenzi mabayaaaa
kidonda chake hakinaga dawaaa
mi na wewe acha ibaki story mm na wewe mapenzi mm na wee acha ibaki story mi na wewe x 2
wasafi

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...