lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu koti ko – mastagaan feat. simone

Loading...

tuna furaha moyoni
tumebarikiwa,
asate sana maulana
kwa kutubariki

leo ni siku yetu,
ilopangwa na mola,
alilopanga mola halina pingamizi.
walimu na wazazi mungu awabariki,
mkaishi maisha ya amani na upendo

namwona mama amina
na wenzake waalimu,
wote wameridhia
kuiona sherehe,
wageni mbalimbali
kufikia kawino,
shangwe vigelegele
ni kwa wageni wote

upande wa hisabati
tumsifu lewis
bila k-msahau
na mwenzake adwogo
upande wa kiingereza,
tumsifu bii lili
bila k-msahau
na mwenzake bii mw-ngi
upande wa kiswahili
tumsifu kerima
bila k-msahau
na mwenzake bii betty
upande fisikia
tumsifu adwogo
bila k-msahau
na mwenzake lewis

upande wa hitoria,
tumsifu amina
na mwenzake ochuka,
magwiji wa historia
upande wa kemia
tumsifu kabwori,
na elimu viumbe
tumsifu frank
na upande wa dini
upande wa kilimo
tumsifu bii suzie
upande wa biashara
tumsifu philipo,
hawa wote walimu
tunawapa kongole

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...