lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ate – mbosso

Loading...

[verse 1]
nataka longa na wewe
nikufunze mapenzi
mwenzako nayajua
nataka sema nawe
nikufunze penzi mimi ninalijua
nipe nikubembeleze kama mtoto ng’ara
kwa raha zako ujinenepee
nikushike pendo lisiteleze likagaragara
wabaya macho wasisogelee
aaaaah ah

[bridge]
twende zanzibar comorro mombasa
tucheze zumari ndombolo chakacha
nikupe michezo hatari uzidi takata
tuwe ng’aring’ari dangote tanasha

[chorus]
kama kikogwa nitala na chumvi
ate ate ate atee
vimboga mboga sangara uduvi
ate ate ate atee
eeeeh iyanaaa iyaaaa
ate ate ate atee
iyaaana iyaaaaa
ate ate ate atee

[verse 2]
mhh mhhh mhh mhhh mhhh
mimi daktari
daktari wa mapenzi
dozi yangu temethali
inatibu na kuenzi
mhh
yangu tamu tamu bila kuchanjia
chachu kwa kudambulia
swafi kwa kuitumia ni salama
kama buble gum utatafunia
ndafu kwa kusuk-mia
mhh chakurumagia
kinyama
penzi liogelee hii bahari salama
selelea se
tuelee mioyo isiende mrama
selelea se
tule tujisosomoe nyama nyama za shawarma
selelea se
habib seleleaaa

[bridge]
twende zanzibar comorro mombasa
tucheze zumari ndombolo chakacha
nikupe michezo hatari uzidi takata
tuwe ng’aring’ari dangote tanasha
aaaaah ah

[chorus]
kama kikogwa nitala na chumvi
ate ate ate atee
vimboga mboga sangara uduvi
ate ate ate atee
eeeeh iyanaaa iyaaaa
ate ate ate atee
iyaaana iyaaaaa
ate ate ate atee

[outro]
jamaa mwali kang’ang’ania
anaitaka
mmhh -n-lilia
anaitaka
oooh kashikilia
anaitaka
nimpe yote yote
yani nzima nzima
anaitaka
oooh kulamba lamba
anaitaka
chocolate ya maziwa
anaitaka
yote yote

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...