lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vum vum - munta dee lyrics

Loading...

atuna muda tupo race yaanii vumvumuu
malaya sitaki show nakupa pesa unichum
shakuwa baba mwaka wa saba na majuk*mu
na ndio maana kila nikitoa shipa ni phantom
oya mi sio feki mc nakupa onyo
usinipime kichwa panzi mc
tumia kamusi ukihisi nachofanya kuwa matusi
k*mbe mamluki sijaona kuniacces wote wazuushi
huu moto hamgusi mi rafiki wa kweli ni zigg nakushi
nendeleza harakati kama che guevara
kama chief mkwawa wa chungu nipe upawa(power)
kama ngoma zinasonga bila nguvu ya dawa
bila sauti ya chawa bila kuipawa
marafiki wanafiki masnichi kama yuda wa kuda
nipunguze niko nje ya muda na
niko fresh sina cash najimix na wajuba
nikuje nakimbiza wakuja na
misotozi we
dah

#verse
respect waliofanya nikajulikana
nipo race kwenye dili zangu za kuchana
kwenye cash usijifanye unanijua sana
usilete ujamaa nitakuletea noma
na hili kopo la moto linatisha watoto
si wali taka kigongo na wapa hili la mboto na
wanoko naleta choko choko
wanajifanya hawanizimi nawapelekea moto
na
chama la wana nguvu moja kama jkt
tunafanya tuko live kama tbc
tukijipata tunapombe mixer vijiti
maisha muziki ongeza mabeat
uluma feto tumekuja wapora kwaruza mabeto
watoto wa geto musilete za kimama code za mideko
kazi na mshiko ukijifanya kichwa ngumu unachezea viwiko
ingoma nzito kwenye kuimba na kuchana kote kote nipo
how come kujifanya kama umepagawa
sometimes nakujaga kama popobawa
kama hujui tega sikio kisha twende sawa
watangazie wenzio kuwa nagawa dawa
ule uchungu kwenye kahawa nimetia mimi
nikaweka na chumvi maji ya bajarini
kuna mengi nimefanya huwezi kuamini
nimesoma uganda na idi amini
nimejipata unikitu local party
kuna mipaka niko nduki hatari
kwenye kichaka kichaka zimachali
wakikanda w*n*lewa chakari
chapa chapa j*po kitaa njaa kalii
paka paka anapofanya juu ya dari
katakata kakata kukubali
inayofuata baada ya hi ndio hatari
nipo speed na smoke sana na flow sana
na kukosha mimi ndio nime toa idea sana
sanamu liwekwe posta na kwenye vocha
mwisho pale baadae likae kopa
inakuwa #kopa ghetto na pair za suti
ndio maana na moka wanaongopa
na nikitoka wanaogopa wanaondoka
wakidondosha mmoja mmoja mi ndio naokota
kuna wao alafu kuna sis aise
kama hujui kuna kima alafu kuna chimpanzee
kuna cerry kuna centa kuna tipa mzee
kuna ndo kuna jaba kuna pipa okay
wakalikibao kwenye game mi ndio number one
hichi kibao ndio kimefanya mpoteze ramani
roba zambao nakukaba usela wa kizamani
mi ndio nimemruhusu chogo chuma bonyeze batani
nimezaliwa asubuhi wa kwanza kuliona jua
ule ubishi wa kubishana kwani nani anajua
mkali wenu mmempika mi ndio nampakuwa
tangu yuko dogo dogo mpaka leo machua
hawakuamini kwenye bless wakasema sio mimi
kichwa mgodi ruksa sa kuja kucopy madini
kwenye hii track inaonyesha kuwa nina ujini weeh
#verse
usela upo kwenye roho sio kuvuta findo
kama kweli msela kweli toa acha mkunjo
masela safi tuko busy kukimbiza bingo
hatuchekeshi tumenuna ukitukuta chimbo
hapa tuko gang gang pombe na mashampeni
ukijifanya chenje unachezea viwembe
ukileta usenge nakuletea umende
ukija kizembe unachezea za chembe
kifo cha mende unakufa chali chali
napita na gang sinza madukani jua kali
acha mapepe tuliza pupa mr.fall
kwa hili chupa umekubali mi hatarii
matozi sio jamii yetu

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...