lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mungu wa ibrahimu – betty faith

Loading...

sisi wanamsingi wa imani
tumekusanyika kama kikundi
nia yetu kuu ni kutangaza injili
kwa kila lugha na jamaa
wale wote watakaoamini
wabatizwe kwa maji mengi

sisi wanamsingi wa imani
tumekusanyika kama kikundi
nia yetu kuu ni kutangaza injili
kwa kila lugha na jamaa
wale wote watakaoamini
wabatizwe kwa maji mengi

sisi tu familia moja
cha kututenganisha hakuna
kazi ya bwana lazima tumalize
(taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu
(nasema taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu

sisi tu familia moja
cha kututenganisha hakuna
kazi ya bwana lazima tumalize
(taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu
(nasema taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu

sote tu wasafiri wa mbinguni
twahitaji kuhimizana
sote nikelemewa uku nishike mkono
tusonge mbele safari ni ngumu
kinitakabari nitaanguka
huk-mu yangu ikawa juu yako
ni furaha yangu tupate uzima
sisi sote tukafurahi.

sote tu wasafiri wa mbinguni
twahitaji kuhimizana
sote nikilemewa uku nishike mkono
tusonge mbele safari ni ngumu
kinitakabari nitaanguka
huk-mu yangu ikawa juu yako
ni furaha yangu tupate uzima
sisi sote tukafurahi.

sisi tu familia moja
cha kutungenanisha hakuna
kazi ya bwana lazima tumalize
(taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu
(nasema taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu

sisi tu familia moja
cha kututenganisha hakuna
kazi ya bwana lazima tumalize
(taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu
(nasema taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu

sisi tu familia moja
cha kututenganisha hakuna
kazi ya bwana lazima tumalize
(taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu
(nasema taji) latungoja mbinguni
(mwisho wa safa) fari yetu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...