lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu natamani nikuone – laura karwirwa

Loading...

eeeeh lala.lala.lala
uuu baba…
mmmhh… (still alive)

mengi nimeshasikia, uliyoyatenda mengi hata nami pia, naweza shuhudia,
katika siku zangu za giza (wewe umenituliza)
nimepenya kwenye giza (umenimulikia njia)

nikusujudie, nikuinamie, niseme nawe,
niushike mkono wako ewe oh, nitembee nawe

natamani nikuone heeey, ndio tamaa ya moyo w-ngu, na nafsi yangu

(umekuwa mwema)

nitakuwa nimetayarisha sadaka nikupe, na sauti
nimenyorosha na malaika niimbe, sadaka za sifaaa he he,
naomba pokeaaaaa, sauti napaza napazaaaaaaa, naomba
sikiaaaaa

natambua mimi dhaifu, kama musa navua viatu vyangu,
nikaribie utakatifu wakoooo, nimeoshwa na hiyo damu
(umekuwa mwema8)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...