lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu stellah – freshley mwamburi

Loading...

nilikua na mchumba w-ngu, tulipendana kama chama choma
alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule japani kusomea udakitari, stella w-ngu ehhh.×2

nilivyo mpenda stella jamani kajitolea kwa roho moja, nikauza shamba langu, sababu yake yeye,
nikauza gari langu, sababu yake yeye nikauza ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye,
ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule japani

ilikua tarehe k-mi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe k-mi na saba mwezi wa tano, ndiyo lokua tarehe kamili ya stella kurudi kenya.
nilikwenda uwanja wa ndege kwenda k-mlaki stella, nilikua na uncle kilinda uwnaja wa ndege,
nilikua baziri mwa kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle mshomba wa mdundonyike tuveluva,
nilikua na ndugu afisi mtoto wa mombasa, ghafla ndege lipotua uwanajani tuliona vituko,
stella alishuka amebeba mtoto mkononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nne mj-pani, nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya nilitamani nilie kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie kijaluo” angatima ngo wachoa”, freshley, nilitamani nilie kiindi lakini si kijui, ilini bidii nilie kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie kitaiata, “beke mwana niponyebanda, freshley”.
nilikua na mchumba w-ngu, tulipendana kama chama choma
alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule japani kusomea udakitari, stella w-ngu ehhh.×2

nilivyo mpenda stella jamani kajitolea kwa roho moja, nikauza shamba langu, sababu yake yeye, nikauza gari langu, sababu yake yeye, nikauza ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye, ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule japani.
ilikua tarehe k-mi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe k-mi na saba mwezi wa tano,
mwaka elfu moja tisamia tisaini na mbili, ndiyo lokua tarehe kamili ya stella kurudi kenya, nilikwenda uwanja wa ndege kwenda k-mlaki stella, nilikua na uncle kilinda uwnaja wa ndege,
nilikua baziri mwa kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle mshomba wa mdundonyike tuveluva,
nilikua na ndugu afisi mtoto wa mombasa, ghafla ndege lipotua uwanajani nliona vituko.
stella alishuka amebeba mtoto mikononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nee mjaipani, nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya nilitamani nilie kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie kijaluo” angatima ngo wauchoa”, freshley.
nilitamani nilie kiindi lakini si kijui, ikani bidii nilie kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie kitaiata, “beke mwana niponyebanda, freshley”.
iyooo, yoo, yoo, yoo, i love you stella mami×2
come back, come back stella i still need you baby
nikwendetete nyama kuivivya stella kindu wakwa, nikwendetete nyama kuvivya, ya kuvulania na kachumbari,
ukava kuvi nakwa stella, linda unguune kisi, ukava kuvi nakwa stella linda unguune kisi,
nakupenda kama choma stella mpenzi w-ngu, nakupenda kama nyama choma stella mpenzi wakwa
ukava kuvi nakwa stella linda unguune kisi,
nikwendetete nyama kuvivya, ya kuvulania na kachumbari
come back, come back stella i still need you baby×2
kwanini kunichenga chenga hivyo stella kama mpira uwanjani×3

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...