dumpsite - toxic lyrikali lyrics
it’s alright we ni mfupi ndio maana unalook up to me
ground tunajua vizuri buru ikw*ngi east
saka stage upark nduthi ndio ukam tu beef
1960 ndio real usicap marvin
transport yenyu nimepandisia kwa ngoshi
niwakupita tunajua ni ma moshi
ati odi si wote tunajua nyi ni ma*soshi
ni addi teacha lazima tu mngecopy
so
kojolelea
ngori chunga ni nani unaongelelea
cold boy adi kwa freezer nawatokelezea
dumpsite ma acid kuna mahali wataozea
dumpsite
kojolelea
ngori chunga ni nani unaongelelea
cold boy adi kwa freezer nawatokelezea
dumpsite ma acid kuna mahali wataozea
dumpsite
tukudump vulai na tuko on site
unajua nini kuhusu kutafuta kusurvive
ukif*gia na toja cbd nilikua na chai
w*ngapi wamedunda ulizia mike na maasai
ndege ya london imecrush into jamaica
dream ya kutoka block walibaki wakirienga
msee wa onkada ajai pеndana na wa murenga
vuta mbegega fala anasеpa
mwenye atatoka omtiti wa kwanza akona jegi
juu ya wagon na usundwe ndani ya begi
tukiwa mathegi mlikua mnatrend mneti
mkijifanya mapedi
nikisumbuana na mavedi
so
kojolelea
ngori chunga ni nani unaongelelea
cold boy adi kwa freezer nawatokelezea
dumpsite ma acid kuna mahali wataozea
dumpsite
kojolelea
ngori chunga ni nani unaongelelea
cold boy adi kwa freezer nawatokelezea
dumpsite ma acid kuna mahali wataozea
dumpsite
sina worry wakisakwa
search mothaiga kwa google na jua ni kitu different umepata
niko solo labda ukuje na your brothers iza
niko hood na magoon naita my brothers
wanajaribu ku distract career
na izo diss track bandia
mbato na kila msee mwenye amekuaminia
ku d*ck ride kwa hii mti utadhani zakaria (kalia kalia)
kojolelea
ngori chunga ni nani unaongelelea
cold boy adi kwa freezer nawatokelezea
dumpsite ma acid kuna mahali wataozea
dumpsite
Random Song Lyrics :
- strange - lil diaq lyrics
- paradise - nathan got bars lyrics
- holy smokes batman - ruckus.exe lyrics
- strange paradise - youth warrant lyrics
- hey (let me hear you say!) - էմմի բեջանյան (emmy bejanyan) lyrics
- ajrisz - sidney polak lyrics
- tomorrow is closed - nothing but thieves lyrics
- break - dark roast lyrics
- thank god - jenka lyrics
- gent e miez' a vij - zooinmymind lyrics