lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zezeta – rayvanny

Loading...

baby mooh nifanye big g unitafune
ama niwe sindano nawe uwe uzi nguo nifume
ama niwe ndoo uwe maji yangu unawanume

nifanye kucha kama ukiwasha mi nikukune sema mama
niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
chumbani uwe simu unalia hata nikiku beep
nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
niwe godoro na shuka nilale na wewe kila siku
shika ufunguo gari ya bosi w-ngu kwako zezeta zezeta
niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta zezeta
au unataka hati nyumba ya baba yangu kwako zezeta zezeta
kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta
mama sitaki paka na panya vita za nyingi
mi nataka niwe mafuta ujipakaze kote mwilini eeh
ama niwe taulo kanga laini ukioga ninakufuta
kutoka juu mpaka kwa chini mashallah
ulivyo mwenzako taabani naishi muchumba siendi varandani
tena sikufanyi vocha soko dukani
nikutumie muchumba nikutupe jaralani sema mama
niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
chumbani uwe simu unalia hata nikikubeep
nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
niwe godoro na shuka nilale na wewe kila siku
shika ufunguo gari ya bosi w-ngu kwako zezeta zezeta
niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta zezeta
au unataka hati nyumba ya baba yangu kwako zezeta zezeta
kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta
mashilawadu wana nyapia nyapia
mashilawadu wana nyatia nyatia
mashilawadu wapate kutangazia
mashilawadu kuwa makini mama
mashilawadu kwa kudandia dandia
mashilawadu vya watu kupagazia
mashilawadu macho funika pazia
mashilawadu kuwa makini mama eeh eeh

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...