
maumivu na njaa - a-1 rokker lyrics
(hook)
uuuuuh, aaaaah
maumivu na njaa
ki*kitu si hufeel ni maumivu na njaa
(verse 1)
ngware amkia p.e za kusaka mboga
kuna warazi wanafanya tunakosa mboka
unajidinya na kura alafu, waah, nimesota
si hukuwa doomed, sijui mbona si hubother
n*z*flash na hazishiki na ni captain morgan
nikiwaza vipi bana tutageuka mamogul
mwanasiasa k*mwona anakula ngomongo
si juja, mafisi mbunge zikibonga ngoso
sina za matt, lunch, nko msoto
adisia kutu, nalipuka kisogo
kuentertain romance imebaki ni ndoto
k*methuka nabanja na wasupa nka mamorio
usiniadd group, siwezi changamoto
pelekea blog, hawaezi shiba uhondo
simaanishi kuwa mean, mi si mtu wa ovyo
life imenipasha kahasho ka soko kwa poko
(hook)
(verse 2)
ttachana mchana yote, ttawasha gode
kanuthu cheap tuchange na tumallo yote
kesho kuwamocho sheria, bro usiogope
zabe zero*grazing hatubeef na yeyote
lakini jo bana msitwone mangómbe
tunanumb reality, ngori tuomoke
wababaz back to back, noma uoleke
kuna bills, drip, meals, bora uboreke
sina sh*t, labda strokes, adi uboeke
degrees na sk!lls, na tuko maunenge
si huibiana? na si sote wapweke
ukikosa bado hug ya kukambana koo
si hulipa na? hongo, stenje, manjege
ukikosa uko ndakas ukioza ubongo
masingle mothers mob jo, io fact ni raw
maroho juu, kwa nchi ya kitu kidogo
(hook)
Random Song Lyrics :
- ha'otzar - האוצר - hava alberstein - חוה אלברשטיין lyrics
- thunder - sunburn lyrics
- electricity - manana lyrics
- your beautiful self - land of talk lyrics
- hitlers and churchills - the rebel (uk) lyrics
- who ducking? - lezone lyrics
- car ad - yabadum lyrics
- facts - lo money lyrics
- the unspoken hero - no name faces lyrics
- 踊ろよ、フィッシュ (odoro yo, fish) - 山下達郎 (tatsuro yamashita) lyrics