
bata - abigail chams lyrics
[verse 1]
haya maisha joo hakuna part 2
na ndio maana
kila siku kw*ngu kama siku kuu
napambana
[pre*chorus]
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
ooh kwani
[chorus]
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
[verse 2]
money don’t lie, gonga cheers tufurahi
nishajipata now niacheni nijidai
mmh, mmh, uh no*no
everyday be day to party, (uh*huh)
living life like it’s a movie (uh*huh)
out all night and in the morning
we hungover, we hungover (uh*huh)
9 to 5 i work i no sleep (uh*huh)
steady grind all days of the week (uh*huh)
i get the green to light up the green
so come over, come over
[pre*chorus]
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
ooh kwani
[chorus]
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
Random Song Lyrics :
- i hate berlin - nachtmahr lyrics
- they do it - vacuum lyrics
- your love is like a cancer - son seals lyrics
- shoot again - sekta core lyrics
- sleep tight - e sens lyrics
- pamppua jakaukseen - notkea rotta lyrics
- “greatest” (remix) - jordeezy lyrics
- lost and found - stalone lyrics
- gigolo - fatal jamz lyrics
- cazadores de sueños - abram lyrics