
bailando - ali kiba lyrics
[intro]
yo!
african princess
[verse 1: alikiba]
naugua
naugua
kukupenda naugua
nakupa yako maua
kunipenda, umejua
[verse 2: nandy]
naugua
naugua
kukupenda naugua
nakupa yako maua
kunipenda, umejua
[verse 3: alikiba]
roho yangu [suru?]
kwa mwingine sitamani
mi umenijaa moyoni
nakupenda, hayawani
[verse 4: nandy]
mi pembeni sitazami
umenizidi mzani
hoi, oh, bin taabani
na sijutii asilani
[pre*chorus: alikiba & nandy]
wewe umeniathiri
tabia umenibadili
mwenyewe si unaona?
ah, ah, ah
tumelandana mwili
utambi na [kandiri]
mwenyewe si unaona?, ah
naona
[chorus: nandy & alikiba]
bailando (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
bailando, oh (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
mi amor, oh, oh, mi amor
bai…
bailando
[verse 5: alikiba]
haste, haste na kipira, baby
moyo unadunda kwa gredi
ai, mwenzako na dead
ufundi ka tuko gereji
[verse 6: nandy]
ah, si utaniua, baby?
moyo unadunda kwa gredi
haya unayonipa mapenzi
umeniweza
[bridge: alikiba & nandy]
mwenzako mimi
(nani wewe)
moyo w*ngu
(moyo wako)
nia yangu
(nia yako)
mpaka mwisho
(mpaka kifo)
[pre*chorus: alikiba & nandy]
wewe umeniathiri
tabia umenibadili
mwenyewe si unaona?
ah, ah, ah
tumelandana mwili
utambi na [kandiri]
mwenyewe si unaona?, ah
naona
[chorus: nandy & alikiba]
bailando (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
bailando, oh (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
mi amor, oh, oh, mi amor
bai…
bailando
Random Song Lyrics :
- ta meg imot, din dust (boy made flower interlude) - qaz lyrics
- grateful - z (of firing squad) lyrics
- juego de mitades - the sistars (arg) lyrics
- ik c pagal - babbu maan lyrics
- 21 (freestyle) - moscow lyrics
- haifa in a tesla - marwan abdelhamid lyrics
- creatures of the night (madison mars remix) - hardwell & austin mahone lyrics
- kartell - da-ice lyrics
- medley - stupeflip lyrics
- deceitful - rjldiablo lyrics