
chibaba - ali kiba lyrics
[intro]
ooh
ooh
ooh
yo!
alright
ah
ah
ah
ah
ah
ah
eh, mama
yeah, mama
[verse 1]
mwenye sura ya makokoto
k*mpata ni protocol
kamejawa na madeko
ah, kana madeko, ah
kwa kuringa kanaringa
kana mambo ya kitoto, toto
mwenzenu mi ndio napenda
ugonjwa w*ngu ‘mi napenda
[bridge]
ka kicheka, mi nalia
jama kananivutia
mali yangu ikija liwa, oh
mi nitachanganyikiwa, ah
ka kicheka, mi nalia
mi nalia, kananivutia
mali yangu ikija liwa
mi nitachanganyikiwa
[pre*chorus]
(ah, olala,lala)
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh*oh
(ah, olala, lala)
safi, oh
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh*oh
roho safi, oh
[chorus]
chimama
…
chibaba
(chibaba)
mmm
[verse 2]
akaanza niita chibaba, chibaba, oh
chibaba
nami namuita chimama, chimama, wa mboga saba
wa moto, oh
shepu, jicho mpaka shingo
yaani [?] mashallah
sitaki tena kuwa single, oh, oh
[bridge]
ka kicheka, mi nalia
jama kananivutia
mali yangu ikija liwa, oh
mi nitachanganyikiwa, ah
ka kicheka, mi nalia
mi nalia, kananivutia
mali yangu ikija liwa
mi nitachanganyikiwa
[pre*chorus]
(ah, olala,lala)
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh*oh
(ah, olala, lala)
safi, oh
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh*oh
(chibaba)
roho safi, oh
(chibaba)
[bridge]
yup!
(instrumentals)
ooh
(chibaba)
ooh
ooh
(chibaba)
ooh
ooh
(chibaba)
mmm
[outro]
chimama
…
chibaba
Random Song Lyrics :
- conséquences - nyu (fra) lyrics
- yeah (with dramabo!damovie) - sweet the kid (kor) lyrics
- το βατράχι (to vatraxi) - stavento lyrics
- all night - prinz lyrics
- sind 2021 - gracenote lyrics
- klima tropiko (hotel ermou live version) - anna vissi lyrics
- sedici - diego perrone lyrics
- godforsaken life - still it cries lyrics
- walking on toes - pk (est) lyrics
- billy jean - krispylife kidd lyrics