far away - ali kiba lyrics
[intro : alikiba]
baby bae
hea hey (njoo mchumba baby)
haste haste (haste haste)
rote rote (rote rote)
hasna siko oooh
[verse 1 : alikiba]
do you remember ulivyokwenda safari?
huku nyuma ali mimi sina hali
sio useme tu “nakupenda sana”
roho inaniuma aah
[pre*chorus : alikiba]
ukinitenda nitaumia sana
niambie baby, aah
slow slow baby, ni*kiss tena
watu wanaumia aah
ukinitenda ntaumia sana
niambie baby, aah
[chorus : alikiba]
so far away (so far away)
from far away (far away)
we from far away (so far away)
we so far away (far away)
we so far away (far away)
from far away (far away)
we from far away (far away)
we so far away (far far far away)
[verse 2 : alikiba]
rote rote (rote rote)
hasna siko (nasiko ooh)
haste haste (haste haste)
ndo nshasema (ndo nishasema)
rote rote (rote rote)
hasna siko (hasna siko)
hastе haste (haste haste)
roho itaniuma
nisеme nini mimi yalishaniumiza (niumiza roho)
kama mapenzi mi nshateswa sana
slow slow baby, ni*kiss tena
watu wanaumia aah
[pre*chorus : alikiba]
ulivyonipenda, nshaumizwa sana
niambie baby, aah
slow slow baby, ni*kiss tena
watu wanaumia aah
ukinitenda ntaumizwa sana
niambie baby, aah
[chorus : alikiba ]
so far away (so far away)
from far away (far away)
we from far away (so far away)
we so far away (far away)
we so far away (far away)
from far away (far away)
we from far away (far away)
we so far away (far far far away)
[verse 3 : chidi beenz]
tumetoka far, far, far, far away
mbali, kabla sina hali
maisha ya kunywa chai na ugali
mpaka leo twala ndama, sio bata, kila mahali
usiniache, usikache my boo
kabla ya kuchukua maneno
k*mbuka i love you (you know that)
hakuna kunidanganya (and you know that)
nakupenda nakuheshimu sana (and you know that)
my love, my heart, my queen (and you know that)
without you king never gon be seen
so usiende mbali, mbali, mbali we
oh tumetoka far, far, far away
mbali, mbali… mbali wee
mbali, mbali… tumetoka far away
[chorus : alikiba]
so far away (so far away)
from far away (far away)
we from far away (so far away)
we so far away (far away)
we so far away (far away)
from far away (far away)
we from far away (far away)
we so far away (far far far away)
[verse 4 : alikiba]
naumia inaumiza roho
kwa maneno wanasema
eti mimi sikufai
unanitenda, wachawi acha wi
hayawahusu
midomoni mwao mejawa sumu
na maneno ya kashfa
na maneno mengine yakata
kata kabisa, husiasikiliza
usipende kusikiliza
na mengine ya kashfa
kashfa, na wengine wanapaka
wanapakaza maneno ya sumu yanafitin
Random Song Lyrics :
- resto para o resto - ferry lyrics
- não te quero mais - mc ryan sp lyrics
- talking time - ron greyhart lyrics
- falling fast - joriah kwame lyrics
- road avenger misheard lyrics - game sack lyrics
- clean crash - elon katz lyrics
- never enough - river becomes ocean lyrics
- blah, blah, blah - blahzay blahzay lyrics
- been around - jari$ lyrics
- black thumb (demo) - ao gryve lyrics