mama - ali kiba lyrics
[intro]
mmmhh
mama yangu weeh
mama samia
(moko), hmm
[verse 1]
umeshafika mwaka mmoja, umeumaliza
ila speedi yako, imepitiliza
na umetupa viongozi bora
si wakuigiza (asante mama)
ooh (asante mama)
[pre chorus]
umetupa heshima
tutakuezi kwa mapenzi
umeja wa hekima sana
umeja wa hekima
dunia nzima, umetupanga kama traini
umeja wa hekima sana
umeja wa hekima mama
[chorus]
baruti ziwake
shamgwe zimwagwe
umeupiga mwingi mama
oh mwingi mama
baruti ziwake iyee
shamgwe zimwagwe
umeupiga mwingi mama
oh mwingi mama
[bridge]
aaahh iyoyoo
mama (aah), mama yangu mama (mama samia)
mama, mama yetu mama (oh samia)
mama (eey), mama yangu mama (raisi wetu weeh)
mama (mama), mama yetu mama (mama samia)
[verse 2]
ajira kwa vijana, umeimarisha
royal tour umejipa, umetupaisha
tanzania miradi leo, inamiminika
soko kimataifa, tunafamilika
[pre chorus]
umetupa heshima
tutakuezi kwa mapenzi
umeja wa hekima sana
umeja wa hekima
dunia nzima, umеtupanga kama train
umeja wa hekima sana
umeja wa hеkima mama
[chorus]
baruti ziwake
shamgwe zimwagwe
umeupiga mwingi mama
oh mwingi mama
baruti ziwake iyee
shamgwe zimwagwe
umeupiga mwingi mama
oh mwingi mama
[outro]
aaahh iyoyoo
mama (aah), mama yangu mama (mama samia)
mama, mama yetu mama (oh samia)
mama (eey), mama yangu mama (raisi wetu weeh)
mama (mama), mama yetu mama (mama samia)
Random Song Lyrics :
- se te nota - rocco s lyrics
- pamiętaj - wychowani na błędach lyrics
- nikt nie kocha meza - mezo lyrics
- letting go - crc music lyrics
- volevo fare bene - la notte lyrics
- klassiek - kinderen voor kinderen lyrics
- killer - narrowgate lyrics
- this transcendent ache - josh doyle lyrics
- lyrics still matter - fnx' lyrics
- firm foundation (live) - nashville life music lyrics