mapenzi yana run dunia - ali kiba lyrics
sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh
fikira zako ziko vibaya kwa kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
haya ulofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
mimi na yeye
kutokana na wako wivu ukadariki k-muacha ajiue
kwa nini why, unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa
najua mwanamke akipenda, huwa… kapenda kweli
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

feel free to love
feel free to love
wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda
na kuna walokimbia… hii dunia… sababu hiyo hiyo kupenda
yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala
bestee w-ngu nilimpenda. umefanya mpaka sasa kajiua
fikira zako ziko vibaya kwa kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
haya ulofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
mimi na yeye
kutokana na wako wivu ukadariki k-muacha ajiue
kwa nini why, unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa
najua mwanamke akipenda, huwa… kapenda kweli
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
mapenzi yana-run duniaaaa
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
mapenzi yana-run duniaaaa
feel free to love
feel free to love
mapenzi yana-run dunia
Random Song Lyrics :
- phone line - bevely lyrics
- остаюсь собой (remain myself) - andy panda lyrics
- further on (up the road) (live in dublin) - bruce springsteen lyrics
- change - as lyrics
- εκεί (eki) - anna vissi lyrics
- toto - tomasa del real lyrics
- screw wit it - 9000 diamonds lyrics
- nothing can bring me down - e^st lyrics
- going under - сергей лазарев (sergey lazarev) lyrics
- lsd - james kirk bogucheski lyrics