
mshumaa - ali kiba lyrics
[verse 1]
ule ugonjwa ulioniacha nao, bado sij*pona
hata mapenzi ulioniacha nayo, yamebaki jina
hospitali oh, za dunia nzima
nimezunguka kote, wamepima majibu hakuna
[pre chorus]
hata ngoma sina(sina oh)
pressure sina(sina eh)
ugonjwa sina(sina)
jina lako ninalo
uwepo wako
ndo ulikuwa w*ngu uzima
naona giza (ungeniacha hata na mshumaa)
[chorus]
alioo iyo
nak*miss…
tena! tutonana
tena! hata mungu akipanga leo
tena! nikufe kesho
tena! tutaonana tena
tena! ifike kesho uliamba
tena! waniweke kwa mchanga
tena! nikufe kesho
tena! ali oh
[verse 2]
labda nikuk*mbushe, nilipokuvisha pete
ulisema machache, hauniachi mpaka nife
[pre chorus]
maana ngoma sina(sina oh)
pressure sina(sina eh)
ugonjwa sina(sina)
jina lako ninalo
uwepo wako
ndo ulikuwa w*ngu uzima
mi naona giza (ungeniacha hata na mshumaa)
[chorus]
alioo iyo (iyo)
nak*miss (iye iye)
tеna! tutonana
tena! hata mungu akipanga leo
tena! nikufе kesho
tena! tutaonana tena
tena! ifike kesho uliamba
tena! waniweke kwa mchanga
tena! nikufe kesho
tena! ali oooh
[outro]
tiriri tirara tata
tarari tara (tarata taruru tata)
tiririri tirara
tororororo
tororororo
ali oh
ali oh
ali
ali oh
Random Song Lyrics :
- nicole - expliry lyrics
- red bull 64 bars - noyz narcos lyrics
- 曖昧な2人 (aimai na futari) - junna lyrics
- i got time - reggie couz lyrics
- fyr - mattis lyrics
- beyond the last bend of the river - rhegia lyrics
- told ya - chlöe lyrics
- odbiorę im więcej - zaleś, michał bator lyrics
- bertengkar manis (feat. barsena bestandhi) - rossa lyrics
- хочу тебя обнять (wanna hug you) - meroshi lyrics