
nahodha - ali kiba lyrics
[intro]
yo!
yeah, baba
ma feeling make it
[verse 1]
najiona wa ajabu, eh
nikijitazama
hivi naota, ah
ama nachanganyikiwa?
joto nalo la shuka digiri
waliniliza tbt
na moyo w*ngu nishakupa na’
[chorus]
na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge yai laini
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post*chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
[bridge]
(ah!)
[verse 2]
kama mapenzi ni jihad
tuko peponi
kwa jinsi tulivyo pambana na hali, ‘yetu rohoni
kuna vijibe vya nafsi ya wale waroho, oh, waroho
wanaosubiri tuachane hata kesho
sisi bado
[pre*chorus]
sisi bado
oh, oh, oh
oh, sisi bado
kuachana sisi bado
sisi bado, woah, woah, oh, wah
sisi bado, woah
[chorus]
kwani na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge yai laini
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post*chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
the mix k!ller
Random Song Lyrics :
- whole lotta money - lil muillet the real one lyrics
- ирландец freestyle (irish freestyle) - брутто (brutto) lyrics
- berlin - junger broh lyrics
- fuck kanye west (bonus track) - marshall beats cuh lyrics
- bad intentions - neoni lyrics
- waste it all - james hersey lyrics
- one life - tauriq ismail lyrics
- one day - 9ope lyrics
- yo no sé nada - big stan lyrics
- how i roll - dezzie gee lyrics