lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

shamba - ali kiba lyrics

Loading...

[verse 1]
asubuhi k*mekucha ali naamka
nakwenda shamba kutafuta matunda
good morning sweety ye nakuaga bibie
nakwenda shamba chochote tutapata
tutakapo kosa leo mamii tuvumilie
kwani mungu kapanda yote ni matokeo

[pre chorus]
ona unavumilia namshukuru mola
kote nimezunguka wewe ni mke bora
ona unavumilia namshukuru mola
kote nimezunguka wewe ni mke bora

[chorus]
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano

[verse 2]
mumeo narejea, hali yangu si waiona
wakati nakwenda, ajali nilipata
ile njia panda nilipita, alinivamia simba
na watu wakaja pale kuniokoa
walinipeleka hospitali ya wilaya
matibabu nilipata ah, na sasa nimetoka
hali yako mjamzito, usijepatwa msh*tuko
dunia ni king’amo, dunia mashindano
hali yako mjamzito, usijepatwa msh*tuko
dunia ni king’amo, dunia mashindano
[chorus]
we hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano
hivyo vyote maa (ulivyo)
nakupendaga (ulivyo)
dunia ni king’amo dunia mashindano

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...