tulia - alice otieno lyrics
Loading...
tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah
tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia
nivigumu anajua
tumezoea kujitumainia
lakini nguvu zetu
haziwezi tosha
vita vyetu si vya dunia
ye hataki hela
hataki mwenye cheo
ni wewe tu k*muaminia
atakuponya atakulinda
atakuonyesha ye astahili sifa
moyo w*ngu tulia
usichoke tulia
anafika tulia
atakushika tulia
moyo w*ngu tulia
amani yake ipo sasa
na yeye anaweza
imani paza sauti
Random Song Lyrics :
- bad boys - sean paul & trueno lyrics
- burhøns - gnags lyrics
- eu adoro satan - lulz silva lyrics
- july - capré lyrics
- fire - water liars lyrics
- ninguém vai te salvar - gustavo goulart lyrics
- mo money - justina valentine lyrics
- d.f.w.m - mirr godly lyrics
- never end - simply lost lyrics
- conmigo na ma - walkerdiazz, kennat & sinaka (chl) lyrics