
sitasahau - amani g lyrics
owe! owe! owe!
nina imani
siku za mateso zitapita
nina imani
siku ya kutoka ghetto itafika
nitapata mabawa nitapaa
nyota itaangaza nitang’aa
ninayo tamani moyoni nitapata
nononono … sitasahau
[hook]
sitasahau, walionishikilia
sitasahau, walioniombea
sitasahau, ni mungu amenitendea
sitasahau sahau
sitasahau, walionishikilia
sitasahau, walioniombea
sitasahau, ni mungu amenitendea
sitasahau sahau
nitashare share
hio kidogo sitajiwekea
sitalegea gea kushika mtu mkono
na nikiitwa somewhere
kusaidia
hata kama sina fare
nitatembea
nitashare share
hio kidogo sitajiwekea
sitalegea gea kushika mtu mkono
na nikiitwa somewhere
kusaidia
hata kama sina fare
nitatembea
[hook]
sitasahau, walionishikilia
sitasahau, walioniombea
sitasahau, ni mungu amenitendea
sitasahau sahau
sitasahau, walionishikilia
sitasahau, walioniombea
sitasahau, ni mungu amenitendea
sitasahau sahau
nitashare share
hio kidogo sitajiwekea
sitalegea gea kushika mtu mkono
na nikiitwa somewhere
kusaidia
hata kama sina fare
nitatembea
Random Song Lyrics :
- shan"bad - שנ"בד - noroz - נורוז lyrics
- operator - motives lyrics
- time machine - darwin deez lyrics
- earth to sky - sky ulep lyrics
- priority - dankurai lyrics
- through the black - this cold life lyrics
- fasle aval - kaardo lyrics
- try try die - stella ella ola lyrics
- long way home - shaman's harvest lyrics
- cienie - gres/steven lyrics