
rafiki badilika - andy mwag lyrics
Loading...
verse 1:
chuki ni mbaya
huleta fitina
penye riziki
hapakosi wivu
kama makini
wew
don’t trust n0body
don’t believe them
wa yuda ni wengi
ukitoka tu wana talk
masikio skia
mdumo w*ngu
kaa kimya
macho yangu
ona mbali eeeeh eeeee
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika (2fois)
verse 2:
waulimwengu
wana maneno mengi
ku ishi nao
kweli taabu
be careful ooh ndugu
rafiki mnafiki si rafiki
ukikosa tu anakukwepa
ukipata njo utamuona
be careful ooh ndugu
badiliiiiiiiiiiika
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika
Random Song Lyrics :
- this is the day - the wolfe tones lyrics
- cykelhjälm - julius ramb lyrics
- that's why - gk silverr lyrics
- information - x-rl7 lyrics
- mad - ballgamee lyrics
- west l’bendo - lil broski lyrics
- f150 - kdm shey lyrics
- samson & delilah - blaklez & pdot o lyrics
- peace sign - quavø the $auce god lyrics
- can't keep up - wydace lyrics