
natamba - aslay lyrics
natamba, natamba aaa
kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako,
wazazi w-ngu wamekusifia sana kwa tabia yako,
sura yako ya upole, inanivutia,
shepu twiga mwenda pole, najivunia,
oh tupeane mapenzi iwachome(eeee),
nakama namba waisome(eeee),
hata tukigombana wasione(eeee),
washike jembe wakalime(eeee),
mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana,
usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana,
aaaaae! angalia shepu, aaaaae! ka-wema sepetu,
aaaaae! angalia jicho, aaaaae! hamissa mobetto,
aaaaae! karangi kake, aaaaae! elizabeth michael,
aaaaae! yani we mrembo, aaaaae! walah nachukua jiko,
we ndio w-ngu wa milele,
nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe,
unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe,
unanyota ya adam na hawa(ohooo), tunavyopendana,
hata wakituchukia ni sawa (ohooo), tuaminie mama,
wanaona umenipa dawa (ohooo), wanaongea sana,
chunga usije kuota mbawa (ohooo), ukaniachaga kilema,
katabiri pweza penzi litafika mbali, nacheka kiingerza,
ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, mh jamani,
katabiri pweza penzi litafika mbali, kwakweli hamtoweza,
ndio maana nacheza ya watu natupia mbali,
basi baby nik-mbatie mama
aaaaae! angalia shepu, aaaaae! ka-wema sepetu,
aaaaae! angalia jicho, aaaaae! hamissa mobetto,
aaaaae! karangi kake, aaaaae! elizabeth michael,
aaaaae! yani we mrembo, aaaaae! walah nachukua jiko,
we ndio w-ngu wa milele, milelee
Random Song Lyrics :
- atari hoe - jug301 lyrics
- can't ignore it - 171 reezy lyrics
- без чувств (without feelings) - chainy lyrics
- letzte freude - yokay lyrics
- moe - braznik lyrics
- bastinado - annie anxiety lyrics
- how the light felt - smut (il) lyrics
- what type of games - yung bleu lyrics
- как мы (kak mi) - uggly lyrics
- good enough - nxtmike & trapship collective lyrics