lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mapema - axe khaliff lyrics

Loading...

intro
shepherd

verse 1

life inaweza kuwa easy man
hizi shida unaona visirani
one step ahead akili ndani
si utoke easy man
umepitia mangapi kuwasha moto wa makaa?
kwa yote umepitia magumu
wee ni zaidi ya shujaa

bridge

mwenzako niliona kifo ni macho nikaghairi,nikakataa!
mbona nisumbukie kijacho,niwe shairi
nikasemaaaaaa

chorus

hii gari naishuka mapema
na mizigo yangu yote
naishusha mapema kwake
hii gari
hii gari naishuka mapema
na mizigo yangu yote
naishusha mapema kwake
kwake!

verse 2
usikubali kuteseka mbona uteseke na hapa kuna kivuli
usikubali kuumizwa mbona uteseke na hapa kuna mfariji
ghairi,ghairi,ghairi
ghairi,uokoke,ghairi
ghairi,uinuke,ghairi
ghairi,ushinde,ghairi

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...