
shusha - baba levo feat. diamond platnumz lyrics
ni salama angamizo
licha nnamatatizo
(s2keezy baby)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
eh wapo tote e (shusha shusha)
wapo ote e (shusha)
wapo tote e (shusha shusha)
wapo ote e (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
wanataka shindana na simba (shusha shusha)
washindane na dangote (shusha)
wakati bado makinda (shusha shusha)
mie maji wao tope (shusha)
waulize wamesikia (wapi) panya kula paka (wapi)
nasema wamesikia (wapi) kibogoyo akang’ata (wapi)
wambie chocho (hili chocho watu huwa hawapitagi)
ehh waambie chocho (sema fyoko tulianzishe vagi)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
eh wapo tote e (shusha shusha)
wapo ote e (shusha)
wapo tote e (shusha shusha)
wapo ote e (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
tumewapa nafasi kidogo wameanza kuleta dharau (shusha)
wameshika visenti kidogo wanakandia mpaka wadau (shusha)
wamejisahau (shusha)
w*n*leta dharau (shusha)
napiga kolabo na simba wewe kapige na nyau (shusha shusha)
n*z*di kushusha mangoma mpaka waseme baba ni noma
nabado ntawapa homa mpaka waseme tumeshakoma
maneno yanavyowachoma mpaka waseme rudi kigoma
na wameshameza ndoano mpaka wateme* (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
eh wapo tote e (shusha shusha)
wapo ote e (shusha)
wapo tote e (shusha shusha)
wapo ote e (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
nawashusha (shusha shusha)
nawashusha (shusha)
wanaporomoka (aii) mmoja mmoja chali (shusha shusha)
wanadondoka mmoja mmoja chali chini
wanaporomoka (shusha) mmoja mmoja chali
wanadondoka (shusha shusha) mmoja mmoja chali chini
chapa a chapa (chapa)
sasa chapa (chapa)
tia bakora (chapa)
hawana adabu (chapa)
chapa a chapa (chapa)
wanangu chapa (chapa)
tembeza mboko (chapa)
hawana adabu (chapa)
Random Song Lyrics :
- spiagge - persiana jones lyrics
- lord war - epidemic (metal band) lyrics
- jerry - the clientele lyrics
- the other day - hunter powell lyrics
- la cretina commedia - talco lyrics
- dance with me - abe parker lyrics
- taxi - sunday driver lyrics
- fagermans visa - cornelis vreeswijk lyrics
- pobre jugador - los suaves lyrics
- you are my home - chayanne lyrics