mama - bahati lyrics
bahati bahati tena flame international
mwanabuja wee
mi naimbia mama, mi nasifu mama, mama
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana

nipe tu dakika keti chini nikuambie
nachukua hii fursa mama wacha nikuimbie
nipe tu dakika keti chini nikuambie
nachukua hii fursa na dunia isikie
miezi tisa ndani yako kanibeba uchovu
na miaka tisa kando yako ukinitoa uovu
(mama)
miezi tisa ndani yako kanibeba uchovu
na miaka tisa kando yako ukinitoa uovu
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
uuu utovu wa nidhamu ndani yangu ukaupiga
na ndoto za utotoni ukanipa motisha
(mama)
utovu wa nidhamu ndani yangu ukaupiga
na ndoto za utotoni ukanipa motisha
mwanangu unaweza lolote ukijikaza utafika popote
mwana, unaweza lolote maono mengi ulifanya niote
mwanangu unaweza lolote ukijikaza utafika popote
mwana unaweza lolote maono mengi ulifanya niote
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
ulijinyima nipate wee, hukutaka nikose ee

ulijinyima nipate (mama), hukutaka nikose ee
ulijinyima nipate (mama), hukutaka nikose
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
maana kubwa kw*ngu mummy ndio nakuimbia mama
zawadi nono kw*ngu haki kutoka kwa maaulana
end
iiii mama, nakupenda mama
asante mama rip love yah!!
Random Song Lyrics :
- hot singles in ur area - idk?anime lyrics
- jesus says - that petrol emotion lyrics
- veladoras en mi barrio - tornillo lyrics
- fade away - norah jones lyrics
- the french - reality & kyra lyrics
- sleepy hollow - sallyy lyrics
- lltm - live acoustic - bexy lyrics
- woman’s worth - jacquees lyrics
- placa alemana (fandangos/sevillanas) - omar montes & israel fernández lyrics
- day by day - holland lyrics