
wrong number - barnaba classic lyrics
[intro: barnaba]
siijui hii sms, baby
[verse 1: barnaba]
una haki, sikulaumu, na una kila sababu
kuni*command, kuniuliza, “huyu ni nani?”
si ku*command mume w*ngu, ila nalinda pendo langu
uko ndani ya himaya yangu, ndio maana nina hofu na zao langu
uko sahihi ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndio u*panic, sio puh tu unavimba
hayo si maneno mume w*ngu, kuyanena mbele yangu
un*z*pelekea hisia zangu, kuhisi naibiwa zao langu
mmm, basi baby, nakupa meseji usome, na ukishasoma usilalamike, usini*set mume w*ngu, wataka kuiponza roho yangu
suluhisho la moyo w*ngu, mpigie upooze mtima w*ngu
[chorus: barnaba & [?] ]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui
amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui
amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwеzekani, tumpigie, uwekе loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
[instrumental break]
[bridge]
ooh, ooh, ooh
[verse 2]
chozi langu thamani, lanitoka chumbani (hey), na mlilia nani?, kama si wewe
najua ni hasira zikipoa mpendwa utaelewa, hata maji ya moto hupoa mapema yakipepewa
usipoteze lengo mume w*ngu, nataka kuzifumba mboni zangu
mpigie huyo mwenzangu, ili nijue kuwa sipo pekee yangu
haya kachukue chaja yangu, ipo kule kwenye mkoba w*ngu, ukisharudi tena kw*ngu ‘we utafurahi mke w*ngu
[chorus]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui, amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi, ooh, ona sasa zimefutika namba, zimefutika sms kwenye inbox, aah!, ona baba, umezifuta makusudi
mbona mi mwanzo niliziona kwa macho yangu
[post*chorus]
tusigombane kisa meseji hiyo, baby siijui, amekosea namba, haipaswi kulalamika
haiwezekani, tumpigie, (mh), uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, wakati wenye simu ni wengi
haiwezekani, tumpigie, (sina namba, siunajuwa zimefutika?), uweke loudspeaker, tumsikie
haiwezekani akosee namba, (mmm) wakati wenye simu ni wengi, achana nayo, mh, sawa bwana
Random Song Lyrics :
- i did - matthew keith lyrics
- kant - luci4 lyrics
- забери меня (take me away) - 1mez lyrics
- this town - taylor brianne osment lyrics
- violet sky - phello lyrics
- padam padam (haai remix) - kylie minogue lyrics
- outside - br3nya lyrics
- göğercin - safi lenter lyrics
- 跳支夜的舞 - into1 lyrics
- сирень - ansteibl lyrics