
nampenda - barnaba lyrics
oooh oooh
shida iko moja bado nampenda
k*muacha sidhani ntaweza
chapisheni magazeti gari
limefunga break kwake
kama ni mechi nampa joleva
mechi zote kwake nishacheza
slishwi wali mbichi nalishwa mpaka vya ndichi
mizigo abebe punda
si kubebeshana huwaga si rahisi
gari la mahaba twachunga
hawakosekani mafisi
mashaallah huba w*ngu limenikolea
siambiwi sisikii penzi lake
pombe nimelewa
jamani limetoshelea
hakuna sp*ce ya kuchiti sp*ce ya usaliti
ukituona wawili tumedumu
ujue basi nampenda
mishale ni mingi haikuwa rahisi namoenda
nishawahi k*muacha ashawahi niacha ila
ananipenda
na tukirudiana penzi kama jipya
ananipenda
aaaah aaah
kazi kutukana
mitandaoni na mabando ya kukopa
kujifanya na mnatujua
kuliko wale waliotuzaa
tulikotoka
ooh mopao kawa mohamed
kisa mapenzi
kabadili dini
kipi cha kushangaza maisha yetu
yanawahusu nini
kama mungu tunayemuabudu
sote ni mmoja iwe pepo iwe motoji
sote njia yetu ni moja
walahi maneno yao yangekuwa mimba tayari
matumbo yetu
yangevimba bibi
k*mridhisha mwanadam kazi
mizigo abebe punda
si kubebeshana huwaga si rahisi
gari la mahaba twachunga
hawakosekani mafisi
mashaallah huba w*ngu limenikolea
siambiwi sisikii penzi lake
pombe nimelewa
jamani limetoshelea
hakuna sp*ce ya kuchiti sp*ce ya usaliti
ukituona wawili tumedumu
ujue basi nampenda
mishale ni mingi haikuwa rahisi namoenda
nishawahi k*muacha ashawahi niacha ila
ananipenda
na tukirudiana penzi kama jipya
ananipenda
Random Song Lyrics :
- 交换id (chinese ver.) - le'v (chn) lyrics
- black crown - hexxx lyrics
- твои щеки, мои пальцы (your cheeks, my fingers) - cold carti lyrics
- puedes vølar - kidd zøø lyrics
- time alone - tjay lyrics
- take it up (remix) - deela & flo milli lyrics
- in walked you - william michael morgan lyrics
- same (live at somerset house, london, uk / 2004) - snow patrol lyrics
- xanboi supreme flex - xanboi lyrics
- you got nofx'd - nofx lyrics