 
sophia - ben pol (tza) lyrics
[intro]
mswaki!
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
[verse 1]
sophia, sophia nikupeleke mpunguzi ah
sophia, sophia nikupeleke na mvumi ah
sophia, sophia nikupeleke na mazengo oh
sophia, sophia nikupeleke mkuungu
[chorus]
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
[verse 2]
sophia w*ngu, mi nilizaliwa tanzania kanda ya kati
makao makuu, twende pamoja tukauone uzuri wa nchi
ndugu zangu wamakole, wakarimu wapole
wanataka wakuone kabla ya kurudi dar
wakupatie karanga, zabibu na uhemba
lazima uwak*mbuke ukifika dar
[chorus]
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
nakuzimia vibaya, vibaya
vibaya, vibaya mi
[bridge]
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
sophia sophia ah ah ah aa
[outro]
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende dodoma
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende mamaaa
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende dodoma
twende dodoma (yele yele yele yele yeeh)
twende mamaaa
Random Song Lyrics :
- a song to sing stefan to sleep - the new & very welcome lyrics
- love you better - echol remix lyrics
- won't starve - deep green lyrics
- she back - flawless, flakko da menace lyrics
- vfts - zarya lyrics
- millionaire dropout (24 remix) - jetsetfly lyrics
- oje khial - shahram bozorgmehr lyrics
- shona malanga - mafikizolo lyrics
- without you - jxred lyrics
- the gallias - cecil armstrong gibbs lyrics