wapo - ben pol lyrics
its bob maneke
eltianam
usiku wa mananeeeeh jua kali likawaka
hali ambayo sikuizoea ivyo ilinipa mashaka
sikutaka tugombaneeeeeh yeye ndo alitaka
akawa ananililia eti anataka talaka
lile ua letu lote la upendo ndo likanyaukaah
aaaaaah eeeeh
nilitaka kua chizi maaawe ningeweuka
nikasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
wengine wapo wapo wapo
mapenzi yapo yapo yapo tu
wengine wapo wapo wapo
mapenzi yapo yapo yapo tu
nlikonda kwa mawazo nlikosa raha nlipata wasiwasi
ila nlijipa moyo natupa jiwe ntapata almasi
saa nyingine nilifumba ata macho namuona yeye
ilinipa tabu kusahau moyoni alikuaaa. ah
nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
wengine wapo wapo wapo
mapenzi yapo yapo yapo tu
wengine wapo wapo wapo
mapenzi yapo yapo yapo tu
nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
wengine wapo wapo wapo
mapenzi yapo yapo yapo tu
wengine wapo wapo wapo
mapenzi yapo yapo yapo tu
yapoooo tuuuuuuu
Random Song Lyrics :
- care about u - pauline herr lyrics
- the mass - pyrrhon lyrics
- ah, kak mi lipsvash bebe - beyhan lyrics
- pain [remix v3] - str burst lyrics
- the door - will gardiner lyrics
- black - through the void lyrics
- chi sono - hiwazu lyrics
- new vibe - trurebel migs lyrics
- blunt de oro leaked - romeo la gota lyrics
- дяди и тёти - быдлоцыкл (bydlotsykl) lyrics