man of few words - benaia lyrics
(pew pew, skew skew, yeah)
benaia
(pew pew, skew skew, yeah)
(yeah yeah)
(shh, shh, shh, shh, shh)
(kxffy with the strap!)
man of few words, maneno kidogo
mimi sipendi kutupa mdomo
mimi sitaki machain na machingri
mimi nilitaka kukuwa polisi
tena rais ilikuwa tashwishi
lakini labda naeza kuwa kasisi
nisome kitabu, payuka ka chizi
juu huko ndio pesa hukuja rahisi
man of few words, maneno kidogo
mimi sipendi kutupa mdomo
mimi sitaki konyagi, kalubu
mi fanta passion kuliko keroro
kushika sky kwa kuruka ka roro
dunda benaia ndio huchoma photo
kwa sababu mi sipigi mdomo
kwa sababu nko kwa corner nadoze off
yeah(pew pew)
okay
shut up and uh listen to the second verse now
kxffy, bring back the drums right now
(kxffy with the strap)
yes
man of few words
lakini a man of his word
benaia, the name you can trust
benaia, the name is a must
but no, enough about me
ebu nishow everything about you
ebu nishow what’s your favorite food
what do you think ukicheki the moon?
nini unaogopa na nini ni cool?
juu mi napenda the way that you look
juu mi nadhani that you are a book
nataka kusoma from dusk to dawn
your wildest adventures
your highs and your lows
hata kaa unafuja gangster points
bado my bros wanajua mi ni boys
man of few words so i hope you enjoyed
shut up kidogo and then make some noise
(arriba)
(pew pew)
Random Song Lyrics :
- free chábrs - dollar prync lyrics
- inside my piano - connie scott lyrics
- ghost me now (prod. blasian beats) - patrick henry the rapper lyrics
- june - charlotte cornfield lyrics
- on the move - mw maniak lyrics
- natasha - frozn colors lyrics
- 나의 계절에게 (our season) - jaechan lyrics
- alice in da hole - romes_fmr lyrics
- light - ena mori lyrics
- airships - jsss lyrics