
lewa - blakes ke01, nilla boy & sir yongo lyrics
[intro: nilla boy & blakes ke01]
lewa
lewa
leo ni kulewa
(s2kizzy baby)
kesha
kesha
leo ni kukesha, nilla!
hehehehe
hehehe
blakes ke01 on the top!
it’s sir yongo!
[verse 1: sir yongo]
feel fine
the music, so fine
baby girl, whine and shine
beat k!ller, no a cappella
i’m dripping, gucci umbrella
your fashionista, fashion k!lla
with guys, blakes and nilla
huu muziki, desturi na mila
aisha, shakila
yvonne na stela
burudani ishajenga taswira
wazungushie wakuone tahira
hii sherehe haitaki hasira
[chorus: nilla boy]
agiza mabia
mimina, bugia
kwenye giza namwita dear
mchana n’kimwona namkimbia
ayayaya yaya!
oyoyo yoyo!
[verse 2: blakes ke01]
shake
shake one time, zungushia two times
baby girl whine up, the nice dress up
mimi niko ndani nacheki tu ma*dress up
no stress, hapa leo ni kukesha
safari na hennessy tunachanganyisha
kesha, kesha, kesha
lewa, lewa, lewa
[chorus: nilla boy]
agiza mabia
mimina, bugia
kwenye giza namwita dear
mchana n’kimwona namkimbia
ayayaya yaya!
oyoyo yoyo!
ayayaya yaya!
oyoyo yoyo!
[outro: nilla boy]
k*mbe, k*mbe
k*mbe ni kicheche
k*mbe, k*mbe
k*mbe ni danga
the mix k!ller!
Random Song Lyrics :
- parallelogram - the 88 lyrics
- getcha mind right - rhf lyrics
- love is a liar - kacey musgraves lyrics
- wings - acoustic - cimorelli lyrics
- freestyle baby - jovem core lyrics
- the glass table - cooper black lyrics
- don't rush memories - ariel lyrics
- someday i'll be all you need - trevor menear lyrics
- club les chrysanthèmes - cosmos sound lyrics
- deepest shame (new machine remix) - plan b lyrics