
mridhishe - blue stars modern taarab uganda lyrics
Loading...
chorus
mridhishe mke wako leo
mridhishe mume wako leo x2
verse 1
unyumba si vita – makelele na vishindo
yaleta matata - tubadili zetu nyendo
mume simvute – astahili penzi hondo
wala simsute – siri sema naye kando
chorus
verse 2
wageni nyumbani – marafiki na wazazi
sema karibuni – kwa furaha mapokezi
asije fulani – na udaku wa uzuzi
sema samahani – ya udaku siyawezi
chorus
verse 3
hata wewe kaka – mapenzi sio mateke
kirudi mechoka – usilete za makeke
sitaje talaka – daima mufurahike
mda muafaka – mshike apumzike
chorus
verse 4
thamani ya mume – imezidi almaasi
mwandaliye shime – umtowe wasiwasi
wala usikome – kwa mapambo na vinakshi
simwache akorome – mlishe hadi ajihisi
chorus
end
Random Song Lyrics :
- sore eyes - braids lyrics
- chains on butterflies - steele 11' lyrics
- mélancostalgie - lonepsi lyrics
- lush life - john coltrane quartet lyrics
- never catching me - mclaintag lyrics
- swag needs me - chief wakil lyrics
- coexist - sonia stein lyrics
- what if i was - blu lyrics
- secreto mio - los cafres lyrics
- uliczny grajek - młody m/radonis lyrics