
siku hizi - boutross lyrics
siku hizi me huogopanga ma popo
siku hizi uwokovu ndio joko
me nita okokanga aje na w*lly aliimbianga nyonyo
siku hizi me hukuanga na collo
imesokotwa na ngoko
ati buty ame unga aje
utadhani ye ni omollo ( ahh, uh ,oh, uh, oh, )
watu huchukia buty, ati juu buty hananga za uwongo
ati juu ngeos alikam akadai ye ni msupa na ye ni ong’ong’o
alidai hizo ma storo , mpaka akaletanga condom
(uhh) buty aliitoka , buty siku hizi kenye hupaka tu ni kwa ndoto
me hukatiwa hadi donholm me hukatia hadi w*ngoso
hadi ule ngeos aliniitanga msoto anadai kuwa morio
aliniita kejani akanichemsha bongo, aliiniitanga kejani nikaigeuzanga sodom
siku hizi me huogopanga ma popo
siku hizi uwokovu ndio joko
me nita okokanga aje na w*lly aliimbianga nyonyo
siku hizi me hukuanga na collo
imesokotwa na ngoko
ati buty ame unga aje
utadhani ye ni omollo ( ahh, uh ,oh, uh, oh, )
( get that money get that money )
( siku hizi mtaa ndio soko )
( uhh , uhh , uhh )
ule morio wa 1 man army ame link up na geri safi
imefika show nitadinya walami ndio nigeuze hadi kizazi
natia bidii, juu chini , juhudi ni kama sina mbele wala nyuma
nimеcheza chini, kihoudini ,juu look yangu si gucci si prada, ni puma
nilikuwa omnipresent, probono kwa hizo ma gig, hadi wakatii
siku hizi niko absеnt , issa nono kama huna fee utauma zi
how much weed i smoke? kaulize ule msee wa census
i did the most, nikikuja ni zile swali senseless
siku hizi me huogopanga ma popo
siku hizi uwokovu ndio joko
me nita okokanga aje na w*lly aliimbianga nyonyo
siku hizi me hukuanga na collo
imesokotwa na ngoko
ati buty ame unga aje
utadhani ye ni omollo ( ahh, uh ,oh, uh, oh, )
( get that money get that mioney )
( siku hizi mtaa ndio soko )
( uhh , uhh , uhh )
Random Song Lyrics :
- past life - a-lex lyrics
- hold it down - dee curlz lyrics
- mujeres en todas partes - las guanábanas lyrics
- the economy - vincent vocoder voice lyrics
- waar ben jij - nienke leone lyrics
- intro - baby money & wallo267 lyrics
- tugo moja, željo moja - snežana savić lyrics
- st4rz - buddh4 lyrics
- out of place - oklasky lyrics
- barrage strike - nihilist.sog lyrics