
kule (too late) - bravo the son lyrics
verse 01:
kule
n-gg-s wanauliza mbona sku hizi hata hucheki bro
vipi yule mchumba wako khadija toka kariakoo
sina cha kuwajibu mana sijui wapi we ulipo
nabaki nasizi na mastimu yangu ya ki-hardcore
unavunga huniskii, wala huniangalii
kisa sina pesa sionekani tena kwa tv
mapenzi ni uchizi mama siwezi nkakufosi
ila muda w-ngu nlowekeza sioni profit
sku hizi hauko tena nami ooh vipi mamiloo
nilidhani mi ndo wako bishoo but not anymore
nshawambia machizi sku hizi mimi nawe hatuendi out
muda w-ngu mwingi nautumia tu ku-ballin out
sku hizi uko matawi ya juu
mi siwaki tena moto wa kifuu
nimefanya mengi bae because of youu
coz niliamini ulinipenda too k-mbee
chorus:
its too lateee, kuleee
haupo nami umeshasepa kulee eeh
kuleee, kuleeee
haubaki nami umeshasepa kuleee
ooh…umeshabaki kulee kuleee
oooh…umeshasepa kuleee kulee
verse 02:
always keep it to ma’ self, never really been too proud
sijui hata kitu gani kimechofanya ukanisahau
long nights everyday tulichat
nak-mbuka we uliapa hauniachi
nawe ndo reason iliyonifanya nkagombana na ma n-gg-s
ili niwe nawe nkawakana hadi ma n-gg-s
sikujali hata muda niliamini tu yatajipa
sik-mbuki hata vipi hii point tumefika
zile shantings, ushabwada tena sitaki
sometimes nkik-mbuka hata waschana tena siangalii
nshawambia machizi sku hizi mimi nawe hatuendi out
muda w-ngu mwingi nautumia tu ku-ballin out
sku hizi uko matawi ya juu
mi siwaki tena moto wa kifuu
nimefanya mengi bae because of youu
coz niliamini ulinipenda too k-mbee
chorus:
outro:
oooh
kuleeee, kuleeh, kuleee
braavooo, zungu
Random Song Lyrics :
- quiere bailarme - psyco lyrics
- totka - big bro lyrics
- don't wait - frex lyrics
- in this life or another - danny horn & the shared myths lyrics
- to jest mój numer (dubstep remix) - dedis lyrics
- olympic cryathlon - closure lyrics
- samopal - platinum (artist) lyrics
- déjate caer - moving on lyrics
- seja o que for - anvil fx lyrics
- sush / samba (acoustic version) - falon sierra lyrics