
uzuri - buki tz lyrics
lalalala lalalaaah
oooh oooh lalalala lalalaah
nimeruhusu macho yangu
yakutazame wewe tu
naruhusu masikio
yakusikie wewe tu
nimeruhusu akili yangu
ikuwazie wewe tu
tatizo uzuri w*ngu
wanitamani wengi tu
yalaiti ungejua
w*ngapi wananiomba number
shababu nakupenda shana
timu timu nawakataa
i wish ungejua
la la laaa
w*ngapi wananitongoza
la la laaah
sababu nakupenda shana
timutimu nawakataa
ooooh wo wooh
tatizo nimezidi uzuri
ndomana unateswa na wivu
ila mchuchu usijali
handsome huyu ni wako tu
tatizo nimezidi uzuri
lapapopapooo
la la la laaah
ila mchuchu usijali
pisi kali huyu ni wako tu
ni wako tu
onokuchi (onokuchi)
ekueme (ekueme)
omg (omg)
bless my love
wenye mambo yakidigitali
walondani kwenye magari
wasitututese wa vibatali
bby ooh my love
nimekuletea dera
nimekosa abaya
nitaleta nikipata hela
usijisikiе vibaya
i wish ungejua
la la laah
w*ngapi wananitongoza
la la lah
sababu nakupenda shana
timu timu nawakataa
tatizo nimezidi uzuri
ndomana unatеswa na wivu
ila mchuchu usijali
handsome huyu ni wako tu
tatizo nimezidi uzuri
ndo mana unateswa na wivu
ila mchuchu usijali pisi kali huyu ni wako tu
ni wako tu
Random Song Lyrics :
- love lost - elmar givelet lyrics
- carefully - sean blu lyrics
- #pakistan! - ohamiri lyrics
- love is tears (ultraflex remix) - gents lyrics
- bando 2 - d4p lyrics
- represent - 6cat9 lyrics
- outrageous - kailaya lyrics
- filled emotions - berth jury lyrics
- comforts - bring philip lyrics
- pokemon song - brahman_is_gone lyrics