
nakutegemea - by monica bulali lyrics
Loading...
uliye mwanzo nakutegemea
uliye mwisho nakutegemea
uliye alpha nakutegemea
uliye omega nakutegemea
bwana
nakutegemea*2
yesu
nakutegemea*2
uliniumba nikuabudu ewe bwana
tegemeo la maisha yangu ni wewe yesu
umenisamehe dhambi zangu messiah
umenisafisha ukaniokoa mwokozi w*ngu wee
kama sio mungu w*ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w*ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe jehovah
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea*4
upendo wako ewe yesu ni wa ajabu
ulikufa msalabani kwa ajili yangu
kwa mapigo yako yesu nimewekwa huru
umeniokoa ukanikomboa messiah
kama sio wewe yesu w*ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w*ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe bwana
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea*4
Random Song Lyrics :
- omg - laiatto lyrics
- skinn við skinn - floni lyrics
- trials and tribulations - fk dame lyrics
- boss fight - tamari cutler lyrics
- hit the road - babytron lyrics
- mind revolution - the alfee lyrics
- almas gemelas - myke towers lyrics
- untilted cypher - dashiell & mcnzi lyrics
- cinta dalam doa - anita roxo lyrics
- the gallows iii - dead/awake lyrics