lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bwana yesu ni warehema – eunia simbagoye

Loading...

bwana yesu ni warehema

bwana yesu ni waupendo

bwana yesu muweza yote

bwana yesu ni wahuruma (4)

bwana yesu kwanz’arituumba

hakuna kitu aricho tunyima

rakini sisi tukamtendea mabaya

bwana yesu ni wahuruma

bwana yesu ni warehema

bwana yesu ni waupendo

bwana yesu muweza yote

bwana yesu ni wahuruma

ndugu yangu ninakushauri

umpe yesu maisha yako

ayataware akuweke huru

maana yeye ni muweza yote

bwana yesu ni warehema

bwana yesu ni waupendo

bwana yesu muweza yote

bwana yesu ni wahuruma (2)

yeyeyeye

mungu wamiujiza

hakuna kama wewe

yesu w’urukundo

ntawuhwanye nawe

yesu w’imbabazi

ntawuhwanye nawe

tukienda australia

hakuna kama wewe

tukienda america

hakuna kama wewe

africa nzima

hakuna kama wewe

tunakwabudu wewe

hakuna kama wewe

tunakwinuwa wewe

hakuna kama wewe

hakuna kama wewe

hakuna kama wewe

hakuna kama wewe

hakuna kama wewe

yeyeyeye

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...