
closer - cherry (tz) lyrics
[intro]
mmmh
ooh
[verse 1]
ukinigusa
ukinigusa tu
moyo unanienda mbio ooh
ukinigusa hata ukucha tu
unanichanganya mwenzio
[bridge]
siwezi kulala ukiwa mbali
siwezi kudeka ukiwa mbali
sogea karibu ukae nami baby
cause i need you closer
[chorus]
i need u closer
i need you closer
nakuhitaji karibu
daktari tabibu
i need you closer
closer
nakuhitaji karibu
nikueleze
yalionisibu uuh siku nzima
nitue,nitulieee eeeh
(uh, uh, uh, uh) yeah
[verse 2]
tabia zetu zafanana
ukiona twaendana
tena tulivyoshibana
mapenzi yamenogea
kawaida kugombana
kikubwa ni kupatana
mioyo imeshashikana
kiukweli nimekolea
oh, i want to hold you tight
nikikutazama you smile
the way you kiss
you make me feel
you’re the one for me
eh
i want to hold you tight
nikikutazama you smile
the way you kiss
you make me feel
you’re the one for me
(closer)
[chorus]
i need you closer
nakuhitaji karibu
daktari tabibu
i need you closer
closer
nakuhitaji karibu
nikuelezе yalionisibu uuh siku nzima
Random Song Lyrics :
- kickdoor - killjae lyrics
- où est mme parfaite ? (mrs. right) - julien moreau lyrics
- 2olak eh - أقولك إيه - angham - أنغام lyrics
- we’re blowing out (feat. jennifer vanilla) - yacht lyrics
- vem viajar - palhaço corp. lyrics
- watch me burn - kodie shane lyrics
- во всей вселенной (all over the universe) - f99 lyrics
- she's a liar - conner stephens lyrics
- de exú pra qui - palhaço caçarola lyrics
- oyoyo - boj lyrics