
kiapo cha damu - cherry (tz) lyrics
[intro]
mmmh
[verse 1]
kupendwa raha
tena ni amani
ukicheka
ucheke na mimi
i’m in love
oh am in love yeah
i need you now
uwe hapa pembeni
ukienda
ntabaki na nani
i’m in love
oh i’m in love yeah
tuliapa wawili
mwili mmoja
tupendane kwa bidii
tuwe pamoja we na mimi, (we na mimi)
ulinifuta machozi
ukanijaza mapenzi
nlipokuhitaji
ulikua na mimi
rafiki wa karibu uuuh
yamenitesa simanzi
nilipo kutoka siwezi
moyo umechoka
nimejifunga
kiapo cha damu
[chorus]
(mhhhhhh mhhhhh)
(mhhhhhh mhhhhh)
mmmh
kiapo cha damu
(mhhhhhh mhhhhh)
(mhhhhhh mhhhhh)
mmmh
kiapo cha damu
[hook]
siwezi tena
sitosema aaaah
sitokoma
siwezi tena
sitosema aaaah
sitokoma
[outro]
ooooohh oooohh (ooh)
ooooohh oooohh (ooh)
yeah
ooooohh oooohh (ooh)
ooooohh oooohh (ooh)
Random Song Lyrics :
- femto - palace ferretti lyrics
- end of the world - zealand worship lyrics
- the village - jamezyboy lyrics
- liam murphy holt - sad cops lyrics
- vite fait - tortoz lyrics
- sick and tired - nice to eat you lyrics
- live without limit - jahmiel lyrics
- close the world at five - jimmy buffett lyrics
- älskling - sofijah lyrics
- higher elevation - spose & cam groves lyrics