
ole - cherry lyrics
moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah
mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata kaah ta
acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kataa, kata, kata kata kaah ta
Random Song Lyrics :
- goodbye margo - nicolas sequeira lyrics
- arji suno ji sarkar - vicky rathore lyrics
- track 9 - natalie rose lebrecht lyrics
- chamadão - og treasure, montecristo & kurt codeine lyrics
- fun - thr33 (rapper) lyrics
- emoji tristi - laneve lyrics
- ode on a grecian urn - jack jarrett lyrics
- drijfhout - machario lyrics
- get funky - jordan bakewell lyrics
- tesla nvr lie - lilmuillet1 lyrics