
yesu anaweza - collins pinky lyrics
Loading...
yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w*ngu
ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako
ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha
nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;
kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw*ngu moyoni bwana
bubujika daima
Random Song Lyrics :
- give it all away - soulkids lyrics
- painful gains - marinate lyrics
- tango for one - peter hammill lyrics
- besos de nadie - marta mendez lyrics
- urgent by pteyn - pteyn bluej lyrics
- dame una mano (realidad mundana) - marcela morelo lyrics
- it's not unusual - darius lyrics
- bis in alle ewigkeit - ella endlich lyrics
- sunrise - anthony frazer lyrics
- love me - king graham lyrics