furaha - congress musicfactory lyrics
Loading...
furaha
[ubeti 1]
furaha, yako mw-ngaza kw-ngu
furaha, yako yakamilisha
furaha, yaf-kuza giza
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
[ubeti 2]
furaha, yarahisisha mzigo
furaha, nguvu yangu vitani
furaha, nguvu ya utiifu
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
[ubeti 3]
furaha, huniuwisha nafsi
furaha, penda ulimwengu wetu
furaha, kuelekea kwako
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
furaha…..
Random Song Lyrics :
- master xploder - dope d.o.d. lyrics
- made of stone - dolly parton lyrics
- madvillainy vs all eyez on me - jay-hovas_witness and f0e lyrics
- absent - biblioteca lyrics
- powrót - molesta lyrics
- college days - great divide lyrics
- na boquinha da garrafa - é o tchan! lyrics
- mother of all bombs - teamheadkick lyrics
- cliché - wale lyrics
- donde lo guardo - conchita lyrics