
twakutukuza - congress musicfactory lyrics
Loading...
twakutukuza
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku
[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…
[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku
[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
tunakupa sifa
Random Song Lyrics :
- go on and on - elton john lyrics
- inmortal - sofi mayen lyrics
- whatever - speak lyrics
- bipolar - la sonrisa de julia lyrics
- fame and money - kingdom kenth lyrics
- headlines - desi desciples lyrics
- quebrou a cara - harmonia do samba lyrics
- mayday! mayday! - terminal knowledge lyrics
- de arme muzikant - helemaal hollands lyrics
- pop hip's revenge - stupeflip lyrics