
chori chori - d voice lyrics
ah*ah*ah, oh*oh*oh, ah*ah! alhabib
ah*ah*ah, oh*oh*oh! oh!
limeniathiri
penzi kwenye mtima
amenichota akili
hata moja sina
nimeshindwa kufanya siri
mwenzenu leo nasema
nampenda kweli kweli
ila simtaji jina niwaambie
penzi chori chori kalipeleka india
nikishindwa vikachori ananipa vibagia
mambo ya utoto pori sio uzungu bandia
tena tuna doridori penzi twawaringishia
mtamaliza comment za matusi huko fb
hii la liga nyie chandimu hamuwezi ligi hii
wala msijipe presha mwisho wa siku mfe kwa bp
mnao angaika kuturoga kwa sangoma muongeze bidi
hii la liga nyie chandimu hamchezi ligi hi
mlio angaika kwa sangoma kuturoga muongeze bidi
vibaya, mtazeeka vibaya
ah! mtazeeka vibaya
mtazeeka vibaya kufata yasiowahusu
oh*oh*oh*oh, ah*ah*ah, oh*oh*oh!
ananita honey, namuita nyonda sabuni
sio we baba fulani, majina ya kihunihuni
unipa vya kingomani, michezo ya tamaduni
na atuvifichi hadharani mtakoma nyie kunguni
aku mie, siziwezi pata shika kubanana mishikaki
kwake nimestirika siichezei bahati
mapenzi sio shirika kushare share sitaki
w*ngu njiwa na mfichaficha kuogopa yenu manati
siwalaumu siwalaumu chukiwa na nyie
mambo magumu maana chuma nnacho mie
penzi chori chori kalipeleka india
nikishindwa vikachori ananipa vibagia
mambo ya utoto pori sio uzungu bandia
tena tuna dori dori penzi twawaringishia
vibaya, mtazeeka vibaya
ah! mtazeeka vibaya
mtazeeka vibaya kufata yasiowahusu
oh*oh*oh*oh, ah*ah*ah, oh*oh*oh!
haya malizeni vikao k*mnanga shauri zenu
mi nishawapiga bao msompenda imekula kwenu
malizeni vikao k*mnanga shauri zenu
mi nishawapiga bao msompenda imekula kwenu
haya kama kweli awezi kuneng’emua (bwana kamshika vipi)
eti kama kweli awezi kuneng’emua (bwana kamshika vipi)
hee kama kweli awezi kuneng’emua (bwana kamshika vipi)
kama kweli hayawezi mavitu (bwana kamshika vipi)
Random Song Lyrics :
- you could be mine (2022 remaster) - guns n' roses lyrics
- they named a highway after you - cottonwood firing squad lyrics
- sleep baby - 邦.kuni lyrics
- introduction - the new & very welcome lyrics
- si seulement tu savais - lil yan lyrics
- катманду (kathmandu) - крематорий (crematoriy) lyrics
- paixão vs amor - bruno gadiol lyrics
- don't do it donnie - sacred reich lyrics
- #emmet brown (ft. mch, h$k) - white 2115 lyrics
- ilariê (remix) - xuxa lyrics