
kariakoo - daddy cham lyrics
chorus
karia! karia! karia
kariakoo!!
karia! karia! karia! karia! karia! karia!
kariakoo!! ×2
verse 1
be humble huku watu hawakurupuki
allikuja kununua suti chaajabu kauziwa chupi
(kariakoo!!)
hii ni laki o.g bei haishuki kanunua simu kufika nyumbani kufungua k*mbe biskuti
(kariakoo!!)
kariakoo ni ndo chama la masela (kariakoo)
mpera mpera macho kwenye hela (kariakoo)
hewani inapepea kwa bendera (kariakoo)
imeppeleka wengi huko jera (kariakoo)
chorus
karia! karia! karia
kariakoo!!
karia! karia! karia! karia! karia! karia!
kariakoo!! ×2
verse 2
maajabu nimeona mpaka nkashtuka mizigo ya kubebwa na lori huku inasuk*mwa kwenye gutakariakoo)
mungu w*ngu hivi sasa ndio nasanuka sina simu wala sina wallet na kibaka muda kasharuka
kariakoo mishe mishe tunafight na misoto
jichanganye kichwa kichwa uziwee tuh midosho
dream chasers hatuchoki huku kukimbiza ndoto
simba *yanga derby letu huku linawasha moto ×2
chorus
karia! karia! karia
kariakoo!!
karia! karia! karia! karia! karia! karia!
kariakoo!! ×2
Random Song Lyrics :
- john's story - jacob brown lyrics
- u-2 - iamamiwhoami lyrics
- bicycle - lady lamb lyrics
- sittin' on chrome 1996 [cd 1 & 2] (mixtape) - dj screw lyrics
- portobello road - stereo version - cat stevens lyrics
- boyfriend (live) - marina lyrics
- puro - weelz lyrics
- eu não tenho dom pra aguentar patrão - mc marechal lyrics
- chill bill (remix) - chvse lyrics
- peydashe - parsalip x putak lyrics